Turibi wa Astorga (402 hivi - Astorga, Hispania, 476 hivi) alikuwa kwanza mkaapweke, halafu askofu wa mji huo ambaye alipambana na uzushi wa Waprisiliani[1], Wamani, Waario, Wapelaji pia kwa agizo la Papa Leo I ambaye barua aliyomuandikia imetufikia[2][3].

Sanamu ya Mt. Toribi katika kanisa kuu la Astorga.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Aprili[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Alonso del Val, José Maria (2000). "Santo Toribio, Obispo" (kwa Kihispania). El Diario Montanes. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-12-24. Iliwekwa mnamo 2009-02-15.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. Epistula 15: Ad Turibium Asturiensem episcopum de priscillianistarum erronibus: Pope Leo I. J.-P. Migne, mhariri. Patrologiae cursus completus. Series Latina 54. Garnier Frères. ku. 693–695. 
  3.   Kirsch, J.P. (1913). "Pope St. Leo I (the Great)". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company.
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92779
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.