Tyren Arendse

Mwanasoka wa chama

Tyren Arendse (alizaliwa 31 Desemba 1980 huko Cape Town, Western Cape) ni mchezaji mpira kiungo wa kati wa Afrika Kusini katika klabu ya daraja la kwanza ya taifa ya Engen Santos na Afrika Kusini. Anatoka mto Elsie kwenye Cape Flats .[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tyren Arendse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.