Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2005

Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi wa urais na ubunge mnamo 4 Desemba 2005. Mapema ulikuwa ulipangiwa kufanyika mnamo 30 Oktoba lakini ukahairishwa kutokana na kifo cha mgombea kiti cha Makamu wa Rais. Uchaguzi huu ulikuwa wa tatu tangu nchi hiyo kurudia mfumo wa vyama vingi mnamo 1992. Pia ulikuwa wa pekee kwa kuwa aliyekuwa rais, Benjamin Mkapa, ambaye alikuwa amehudumu kwa kipindi cha miaka kumi alistaafu kulingana na Katiba. Uchaguzi wa Urais wa Zanzibar na wawakilishi katika jumba la wawakilishi ulifanyika mnamo 30 Oktoba, jinsi ilivyokuwa imepangwa.

Uchaguzi wa mwaka 2005 ulimweka Jakaya Kikwete madarakani.
Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Tanzania



Zanzibar

Nchi zingine · Atlasi

Wagombea Urais hariri

Muungano hariri

Zanzibar hariri

Matokeo ya Uchaguzi hariri

Rais wa Muungano hariri

e • d Summary of the 18 December 2005 Tanzanian presidential election results
Candidates Nominating parties Votes %
Jakaya Mrisho Kikwete Chama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party) 9,123,952 80.28
Ibrahim Lipumba Chama cha Wananchi (Chama Cha Wananchi) 1,327,125 11.68
Freeman Mbowe Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Party for Democracy and Progress) 668,756 5.88
Augustine Lyatonga Mrema Tanzania Labour Party 84,901 0.75
Sengondo Mvungi National Convention for Construction and Reform-Mageuzi 55,819 0.49
Christopher Mtikila Democratic Party 31,083 0.27
Emmanuel Makaidi National League for Democracy 21,574 0.19
Anna Senkoro Progressive Party of Tanzania-Maendeleo 18,783 0.17
Leonard Shayo Demokrasia Makini 17,070 0.15
Paul Henry Kyara Sauti ya Umma 16,414 0.14
Total Votes 11,365,477 100.00
Voter Turnout 72.4%

Bunge la Muungano hariri

e • d Summary of the 14 December 2005 National Assembly of Tanzania election results
Parties Votes % Direct
seats
Additional
Women
seats
Total
seats
Chama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party) 7,579,897 70.0 206 58 264
Chama cha Wananchi (Chama Cha Wananchi) 1,551,243 14.3 19 11 30
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Party for Democracy and Progress) 888,133 8.2 5 6 11
Tanzania Labour Party 297,230 2.7 1 1
National Convention for Construction and Reform–Mageuzi 239,452 2.2
United Democratic Party 155,887 1.4 1 1
Others 117,671 1.2
Members nominated by the Union president 10
Representatives of the Zanzibar House of Representatives 5
Ex officio members 2
Total (turnout 72%) 10,829,513 100.0 232 75 324

Rais wa Zanzibar hariri

Mgombea Chama Idadi ya Kura % ya Kura
Amani Abeid Karume Chama Cha Mapinduzi (CCM) 239,832 53.18%
Seif Shariff Hamad Civic United Front (CUF) 207,773 46.07%
Haji Mussa Kitole Jahazi Asilia 2,110 0.48%
Abdallah Ali Abdallah Democratic Party (DP) 509 0.11%
Simai Abdulrahman Abdallah National Reconstruction Alliance (NRA) 449 0.10%
Mariam Omar Sauti ya Umma (SAU) 335 0.07%
Total Votes 451,008
Voter Turnout 90.8%

Chumba la Wawakilishi, Zanzibar hariri

Chama Idadi ya viti (50)
Chama Cha Mapinduzi (CCM) 30
Civic United Front (CUF) 19
Kilichopigwa Marufuku 01

Note: Marudio ya uchaguzi kwa kiti ambacho matokeo yake yakituoikiwa mbali yalifanyika mnamo 14 Desemba 2005.

Tazama Pia hariri

Viungo vya nje hariri