Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1868

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1868 ulikuwa wa 21 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 3 Novemba. Upande wa "Republican Party", Ulysses Grant (pamoja na kaimu wake Schuyler Colfax) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Horatio Seymour (pamoja na kaimu wake Francis Blair).

Matokeo hariri

Grant akapata kura 214, na Seymour 80. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.