Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 2008

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 2008 ulikuwa wa 56 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 4 Novemba. Upande wa "Democratic Party", mgombea Barack Obama (pamoja na kaimu wake Joe Biden) alimshinda mgombea wa "Republican Party" John McCain (pamoja na kaimu wake Sarah Palin).

Matokeo hariri

Obama akapata kura 365, na McCain 173. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.