Uchambuzi namba ni tawi la hisabati linalohusika na ukadiriaji bora wa maeneo ya maumbo katika uchambuzi wa kihisabati.

Mfano wa uchambuzi namba katika kigae cha Babuloni YBC 7289 cha miaka 1800–1600 KK pamoja na ufafanuzi wa kitarakimu.[1]

Ujuzi huo unatumika katika sayansi zote pamoja na uhandisi, hasa baada ya uenezi wa tarakilishi.

Tanbihi hariri

  1. "Photograph, illustration, and description of the root(2) tablet from the Yale Babylonian Collection". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-08-13. Iliwekwa mnamo 2020-06-22. 

Vyanzo hariri

Viungo vya nje hariri

Majarida hariri

Vitabu mtandaoni hariri

Vitini mtandaoni hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchambuzi namba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.