Uppsala ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa nne katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 144,839 (mwaka 2008). Kuna pia Chuo Kikuu cha Uppsala.

Picha ya satelite

Jiografia hariri

Eneo lake ni 47.86 km². Umbali na Jiji la Stockholm ni 70 km.

Mji uliundwa mwaka 1497.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uppsala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.