Urbano wa Teano
Urbano wa Teano (alifariki karne ya 4) alikuwa askofu wa tatu wa mji huo, leo nchini Italia, kuanzia mwaka 456[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |