Uruapan, Michoacán


Uruapan ni mji katika jimbo la Michoacán.

Jiji la Uruapan
Nchi Mexiko
Jimbo Michoacán
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 279,229
Tovuti:  www.uruapan.gob.mx

Mji upo m 1,921 kutoka juu ya usawa wa bahari. Mwaka 2005 ilikuwa na wakazi 279,229 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 1,000,000. Uneo lake ni 368.4 km².

Pahali pa vipepeo ni karibu na mji.

Mji ulianzishwa na Fray Juan de San Miguel mwaka 1533.


Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uruapan, Michoacán kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.