Utalii nchini Afrika Kusini

Afrika Kusini ni kivutio cha watalii na sekta hiyo inachangia kiasi kikubwa cha mapato ya nchi. Wakala rasmi wa Utalii wa Afrika Kusini ana jukumu la kuitangaza Afrika Kusini kwa ulimwengu. Kulingana na Baraza la Utalii Duniani, sekta ya utalii ilichangia moja kwa moja ZAR bilioni 102 katika Pato la Taifa la Afrika Kusini mwaka 2012, na inasaidia 10.3% ya nafasi za kazi nchini. [1][2]

Idadi ya watalii wanaoingia kila mwaka hariri

Watalii walio wasili kutoka ichi za 10 SADC [3] Watalii kutoka nchi nyingine [4]
Ranking Country

of origin

Visitor arrivals

2015

% Total

arrivals

Ranking Country

of origin

Visitor arrivals

2015

% Total

arrivals

1   Zimbabwe 1 900 791 28.9 1   Ufalme wa Muungano 407 486 19.0
2   Lesotho 1 394 913 21.2 2   Marekani 297 226 13.9
3   Mozambique 1 200 335 18.3 3   Ujerumani 256 646 12.0
4   Eswatini 838 006 12.7 4   Ufaransa 128 438 6.0
5   Botswana 593 514 9.0 5   Uholanzi 121 883 5.7
6   Namibia 212 514 3.2 6   Australia 99 205 4.6
7   Zambia 161 259 2.5 7   China 84 691 3.9
8   Malawi 135 260 2.1 8   India 78 385 3.7
9   Angola 48 416 0.7 9   Kanada 56 224 2.6
10   Tanzania 35 817 0.5 10   Italy 52 377 2.4

Marejeo hariri

  1. "Travel & Tourism Economic Impact 2013 South Africa". WTTC. March 2013. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 March 2014. Iliwekwa mnamo 20 November 2013.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Cabinet appoints new SA Tourism Board". 
  3. "Statistics SA: Tourism 2015". 
  4. "Statistics SA: Tourism 2015".