Utsunomiya, Tochigi

mji mkuu wa Jimbo la Tochigi, Japani

Utsunomiya (宇都宮市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Tochigi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao 510,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 105 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 416.84 km².

Sehemu za Mji wa Utsunomiya, Tochigi







Utsunomiya

Bendera
Utsunomiya is located in Japan
Utsunomiya
Utsunomiya

Mahali pa mji wa Utsonomiya katika Japani

Majiranukta: 36°33′00″N 139°52′00″E / 36.55000°N 139.86667°E / 36.55000; 139.86667
Nchi Japani
Kanda Kantō
Mkoa Tochigi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 509,931
Tovuti:  http://www.city.utsunomiya.tochigi.jp/

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Utsunomiya, Tochigi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.