Uwanja wa michezo wa Arbor Park

Uwanja wa hifadhi ya Arbor uliopo mjini Newcastle nchini kusini mwa Afrika

Uwanja wa Arbor Park ni uwanja wenye matumizi mengi huko Newcastle, KwaZulu-Natal, nchini Afrika Kusini.Kwa sasa unatumiwa zaidi kwa shughuli za mpira wa miguu (soka), na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Newcastle Sicilians F.C katika ligi ya Vodacom.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Arbor Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.