Uwanja wa michezo wa Dutywa

Uwanja wa matumizi mbalimbali mashariki ya mji wa cape, kusini mwa Afrika

Uwanja wa michezo wa Dutywa ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unaopatikana katika ghuba ya mashariki, nchini Afrika Kusini. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya F.C Royals na Hotspurs F.C.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Dutywa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.