Uwanja wa michezo wa Huntersfield

Unapatikana Afrika kusini.

Uwanja wa michezo wa Huntersfield ni uwanja wa mchezo wenye matumizi mengi huko Katlehong, Afrika Kusini. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ulikuwa uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Jomo Cosmos.[1]

Marejeo hariri

  1. "Cosmos return to Vosloorus Stadium". Jomo Cosmos. 20 Juni 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-09. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Huntersfield kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.