Uwanja wa michezo wa Mogwase

Umejengwa Afrika Kusini

Uwanja wa michezo wa Mogwase ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo ogwase karibu na Rustenburg huko Afrika Kusini.

Ulikuwa ukitumiwa na timu ya mpira wa miguu ya Taifa la Marekani.[1] na timu ya Afrika Kusini kama kituo cha mazoezi wakati wa kombe la shirikisho la mwaka 2009.[2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mogwase kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "U.S. versus Spain preview - U.S. Soccer -". ESPN Soccernet. Juni 23, 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-21. Iliwekwa mnamo 7 Juni 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Bafana chooses Orlando". Sowetan. 20 Mei 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Mei 2009. Iliwekwa mnamo 7 Juni 2010. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)