Uwanja wa michezo wa Oshogbo

Uwanja wa michezo wa Oshogbo ni uwanja wa michezo uliopo katika eneo la jimbo la Osun, nchini Nigeria.[1]

Osogbo City stadium
Uwanja wa michezo Oshogbo

Uwanja huu unatumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Prime F.C. na ya Orangun FC, ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 10,000.

Marejeo hariri

  1. "Stadiums in Nigeria". World Stadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-18. Iliwekwa mnamo 2008-06-17. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Oshogbo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.