Uwanja wa michezo wa Union

Uwanja wa michezo wa Union ni uwanja wa michezo mbalimbali unaomilikiwa na manispaa ya Westbury huko Johannesburg, Afrika Kusini.[1] Unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu yaani (soka).

Union stadium

Marejeo

hariri
  1. "Union Stadium seeking a boost". JoburgNews.co.za. 15 Aprili 2004. Iliwekwa mnamo 23 Mei 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Union kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.