Uwanja wa michezo wa manispaa ya Benguela

Uwanja wa michezo Edelfride Palhares da Costa (zamani ulijulikana kama Estádio Municipal de Benguela) ni uwanja wenye matumizi mengi unaopatikana Benguela, nchini Angola.[1]

Uwanja huo ulifanyiwa ukarabati mkubwa mnamo mwaka 2010, katika kipindi cha Kombe la Mataifa ya Afrika la mwaka 2010 na ulitumiwa na timu zote za mpira wa miguu za Misri na Benin na za Benguela kama uwanja wa mazoezi.[2]

Mnamo mwaka 2010,uwanja huo ulikabidhiwa kwa Estrela Clube Primeiro de Maio kwa madhumuni ya usimamizi na upangaji.[3] Uwanja huo una uwezo wakuchukua watu 5,000.

Uwanja huo ulipewa jina jipya la "'Edelfride Palhares da Costa' ', gwiji wa mpira wa miguu aliyecheza nchini Angola kabla ya kuhamia Ureno kabla ya uhuru ambapo aliichezea vilabu kadhaa vya hapa.

Marejeo hariri

  1. "World Stadiums - Stadiums in Angola". www.worldstadiums.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-13. Iliwekwa mnamo 2017-07-27. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. "Estádio Municipal - a "catedral" do 1º de Maio no Girabola2013". ANGOP.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-22. Iliwekwa mnamo 22 Juni 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Estádio Municipal Edelfride Palhares da Costa". girabola.com. Iliwekwa mnamo 22 Juni 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Benguela kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.