Västerås ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa sita katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 107,005 (mwaka 2005). Iko kando ya Ziwa Mälaren.

Picha ya satelite

Jiografia hariri

Eneo lake ni 51.73 km². Umbali na Jiji la Stockholm ni 100 km.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Västerås kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.