Valentiniano wa Koira

Valentiniano wa Koira (alifariki Chur, Uswisi, 548) alikuwa askofu wa mji huo, katika Uswisi wa leo, aliyejitosa kusaidia fukara, kukomboa waliotekwa na kuvika wasiokuwa na nguo[1] katika kipindi kigumu cha historia.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Januari[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum
  2. www.santiebeati.it/dettaglio/69700
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.