Valle d'Aosta (kwa Kifaransa:Vallée d'Aoste; kwa Kiswahili: Bonde la Aosta) ni mkoa wenye kujitawala wa Italia. Ni mkoa mdogo kuliko yote kwa eneo (km² 3,263) na kwa idadi ya wakazi (126,935) na kwa sababu hiyo hauna wilaya ndani yake.

Ngome ya Saint-Pierre, karne ya 13th,Valle d'Aosta
Mahali pa Valle d'Aosta katika Italia

Mji mkuu wake ni Aosta.

Wakazi wengi wanaongea Kiitalia, lakini pia lahaja maalumu ya Kifaransa.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri


 
Mikoa ya Italia
 
Mikoa ya kawaida
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto |
Mikoa yenye katiba ya pekee
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Valle d'Aosta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.