Veracruz (jina rasmi: Veracruz de Ignacio de la Llave) ni moja kati ya majimbo ya Mexiko upande wa mashariki ya nchi. Upande wa mashariki ni maji ya Ghuba ya Meksiko. Mji mkuu ni Xalapa na mji mkubwa ni Veracruz.

Veracruz ,Mexico
Bendera ya Veracruz
Mahali pa Veracruz katika Mexiko

Imepakana na Tamaulipas, Oaxaca, Chiapas, Tabasco, Puebla, Hidalgo na San Luis Potosí. Jimbo lina wakazi wapatao 7,110,214 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 71,699.

Gavana wa jimbo ni Fidel Herrera Beltrán.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa hariri

  1. Veracruz (444,438)
  2. Xalapa (387,879)
  3. Coatzacoalcos (234,174)


Viungo vya Nje hariri



  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Veracruz (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.