Vigori (kwa Kilatini: Vigor; Artois, Ufaransa, karne ya 5 - 537 hivi) alikuwa askofu wa Bayeux (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 513 au 514[1] akiingiza Wapagani wengi katika Kanisa Katoliki kama alivyofanya mlezi wake, Vedasto wa Arras[2] [3].

Mchoro wa ukutani katika kanisa lake huko Neau.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Novemba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Edit, Fulbourn and the Wilbrahams | powered by Church. "Fulbourn and the Wilbrahams - History of Fulbourn churches". 
  2. "Vita Sancti Vigoris". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-25. Iliwekwa mnamo 2021-10-27. 
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93123
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.