Vinsenti Grossi (Pizzighettone, karibu na Cremona, 9 Machi 1845 – Vicobellignano, 7 Novemba 1917) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia Kaskazini.

Alianzisha shirika la kitawa la Mabinti wa Oratori[1].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 1 Novemba 1975, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 18 Oktoba 2015[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.