Aulus Vitellius Germanicus (24 Septemba, 1522 Desemba, 69) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kwa miezi michache kuanzia 17 Aprili, 69 hadi kifo chake. Alimfuata Otho.

Shaba inayoonyesha Kaizari Vitellius

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vitellius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.