Wagisu ni tawi la kabila la Wamasaba linaloishi kwenye mlima Elgon, mashariki mwa Uganda (wilaya ya Mbale).

Wanahusiana sana na Wakusu wa Kenya.

Leo wengi wao ni Wakristo.

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wagisu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.