Wakahe ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Kilimanjaro, karibu na mji wa Moshi.

Lugha yao ni Kikahe. Kikahe ni lugha ya Kichaga ya huko Old Moshi.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakahe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.