Warufiji ni kabila la watu kutoka eneo la pwani ya Tanzania, karibu na Mto Rufiji. Mwaka 1987 idadi ya Warufiji ilikadiriwa kuwa 200,000 [1].

Mto Rufiji

Lugha yao ni Kirufiji.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warufiji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.