Wasafi Tv
Wasafi Tv ni televisheni ya nchini Tanzania inayomilikiwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.
Wasafi Tv | |
---|---|
Shina la studio | Wasafi Media |
Imeanzishwa | Februari 26 2018 |
Mwanzilishi | Diamond Platnumz |
Aina za muziki | Bongo Flava |
Nchi | Tanzania |
Mahala | Tanzania |
Tovuti | http://wasafi.tv |
Kituo hicho cha televisheni kilizinduliwa rasmi mwaka 2018 mwezi Februari. Televisheni hiyo ni maarufu kwa kurusha nyimbo za Bongo Flava.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |