Watu wa kisiwa cha Kupro ni 970,000.

Walio wengi wanaongea Kigiriki na ni Wakristo Waorthodoksi, lakini upande wa Kaskazini ni Waislamu wanaoongea Kituruki.