White Mischief ni filamu ya 1987 ambayo inaigiza kuhusu matukio ya Kesi ya Mauaji ya Happy Valley nchini Kenya mnamo 1941, wakati Sir Henry "Jock" Delves Broughton alishtakiwa na kuhukumiwa kwa mauaji ya Josslyn Hay, Earl of Erroll.

White Mischief
posta ya White Mischief
Imeongozwa na Michael Radford
Imetungwa na James Fox (novel)
Michael Radford
Jonathan Gems
Imetaarishwa na Simon Perry
Nyota Greta Scacchi
Charles Dance
Joss Ackland
Sarah Miles
John Hurt
Alan Dobie
Muziki na George Fenton
Imehaririwa na Tom Priestley
Muda wake 107 min.
Imetolewa tar. 1987
Nchi Ufalme wa Muungano
Lugha Kiingereza

Filamu hii ilielekezwa na Michael Radford akiangazia kitabu kilichatungwa na mwandishi wa habari wa Sunday Times, James Fox (Mwanzoni kilifanyiwa utafiti pamoja na Cyril Connolly kwa makala ya Desemba 1969) [1]

Orodha ya Wahusika hariri

Marejeo hariri

  1. White Mischief: The Murder of Lord Erroll, James Fox, Vintage Books, 1998, ISBN 0394756878

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu White Mischief kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.