Wikipedia ya Kiestonia

Wikipedia ya Kiestonia ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiestonia. Wikipedia hii, ilianzishwa mnamo tar. 24 Julai 2002. Mnamo tar. 20 Januari 2009, imefikisha makala 59,131. Takwimu ya sasa ya Wikipedia kwa Kiestonia, inapatikana hapa.[1]

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kiestonia
Kisarahttp://et.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKiestonia
MmilikiWikimedia Foundation

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikipedia
Wikipedia ya Kiestonia ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiestonia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.