Wikipedia ya Kiukraini

sehemu ya Wikipedia katika lugha ya Kiukreni

Wikipedia ya Kiukraini (Kiukraini: Українська Вікіпедія au Ukrayins’ka Vikipediya) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiukraini. Makala ya kwanza iliandikwa tarehe 30 Januari 2004. Tarehe 28 Machi 2008 imefikisha zaidi ya makala 100,000. Tarehe 9 Septemba 2017 imefikisha makala 722,255 na ndiyo Wikipedia ya 16 kwa ukubwa.

Wikipedia ya Kiukraini

Viungo vya nje hariri

 
Wikipedia
Wikipedia ya Kiukraini ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiukraini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.