Wilaya ya Bukombe ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Geita.

Mahali pa Bukombe (kijani cheusi) ilipokuwa bado katika mkoa wa Shinyanga.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 396,423 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 407,102 [1].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Bukombe - Mkoa wa Geita - Tanzania  

Bugelenga | Bukombe | Bulangwa | Bulega | Busonzo | Butinzya | Igulwa | Iyogelo | Katente | Katome | Lyambamgongo | Namonge | Ng'anzo | Runzewe Magharibi | Runzewe Mashariki | Ushirombo | Uyovu


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.