Wilaya ya Embu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Embu
Mahali paWilaya ya Embu
Mahali paWilaya ya Embu
Mahali pa Wilaya ya Embu katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Embu
Eneo
 - Jumla 2,818 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 516,212

Makao makuu yalikuwa mjini Embu.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Embu.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Embu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.