Gairo ni wilaya mpya katika mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67700, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Hadi 2012 ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kilosa.

Makao makuu ya wilaya yako Gairo, mji wenye maendeleo ya haraka.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012 kata ilikuwa na wakazi wapatao 193,011.[1] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 258,205 [2].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Gairo - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Chagongwe | Chakwale | Chanjale | Chigela | Gairo | Idibo | Italagwe | Iyogwe | Kibedya | Leshata | Madege | Magoweko | Mandege | Mkalama | Msingisi | Nongwe | Rubeho | Ukwamani


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Gairo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.