Wilaya ya Handeni Vijijini

Handeni Vijijini ni mojawapo kati ya wilaya 10 za Mkoa wa Tanga katika pwani ya Tanzania.

Mahali pa Wilaya ya Handei katika Tanzania (kijani cheusi)

Makao makuu ya wilaya yako Handeni mjini.

Mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 276,646 walioishi katika kata 20 za wilaya.

Mwaka 2012 eneo la mji wa Handeni ilitengwa na wilaya hiyo kuwa wilaya ya pekee.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Kata za Wilaya ya Handeni Vijijini - Mkoa wa Tanga - Tanzania  

Kabuku | Kabuku Ndani | Kang'ata | Kitumbi | Kiva | Komkonga | Kwachaga | Kwaluguru | Kwamatuku | Kwamgwe | Kwamsisi | Kwankonje | Kwasunga | Kwedizinga | Mazingara | Mgambo | Misima | Mkata | Ndolwa | Segera | Sindeni

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Handeni Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.