Wilaya ya Marsabit


Wilaya ya Marsabit ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Marsabit
Mahali paWilaya ya Marsabit
Mahali paWilaya ya Marsabit
Mahali pa Wilaya ya Marsabit katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Marsabit
Eneo
 - Jumla 66,923.1 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 291,166

Makao makuu yalikuwa mjini Marsabit.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Marsabit.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Marsabit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.