Wilaya ya Nyeri ilikuwa wilaya mojawapo ya mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Nyeri
Mahali paWilaya ya Nyeri
Mahali paWilaya ya Nyeri
Mahali pa Wilaya ya Nyeri katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Nyeri
Eneo
 - Jumla 2,361 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 693,558

Makao makuu yalikuwa mjini Nyeri.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Nyeri.

Wilaya hiyo ilikuwa na ukubwa wa eneo la kilomita mraba 3,356 [1] katika maeneo ya kusini mashariki mwa Mlima Kenya.

Ilikuwa na jumla ya wakazi 661,156. Wenyeji ni haswa wa kabila la Wakikuyu.

Serikali za Mitaa hariri

Serikali ya Mitaa Aina Idadi ya Watu Wakaazi wa mjini*
Nyeri Manispaa 98,908 46,969
Karatina Manispaa 6,852 6,852
Othaya Mji 21,427 4,108
Nyeri county Baraza la mji 533,969 10,047

Maeneo ya utawala hariri

Tarafa Idadi ya Watu Wakazi wa mjini* Makao makuu
Kieni east 83,635 2,643 Naro Moru
Kieni west 68,461 5,017 Mweiga
Mathira 150,998 6,275 Karatina
Mukurwe-ini 87,447 1,525 Kiahungu
Nyeri municipality 101,238 40,497 Nyeri
Othaya 88,291 3,846 Othaya
Tetu 80,100 0

Maeneo Bunge hariri

Wilaya hii ina maeneo bunge sita:

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri