Wilaya ya Songea Mjini

Wilaya ya Songea Mjini ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Ruvuma yenye postikodi namba 57102.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 131,336 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 286,285 [1].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Songea Mjini - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania  

Bombambili | Lilambo | Lizaboni | Majengo | Matarawe | Mateka | Matogoro | Mfaranyaki | Misufini | Mjimwema | Mletele | Msamala | Mshangano | Mwengemshindo | Ndilimalitembo | Ruhuwiko | Ruvuma | Seedfarm | Songea Mjini | Subira | Tanga


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Songea Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.