Wilaya ya Ushetu ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Shinyanga. Ilianzishwa tarehe 23 Novemba 2012 kwa kugawa Wilaya ya Kahama[1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 390,593 [2].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Ushetu - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania  

Bukomela * Bulungwa * Chona * Chambo * Igunda * Idahina * Kinamapula * Igwamanoni * Kisuke * Mapamba * Mpunze * Nyamilangano * Nyankende * Sabasabini * Ubagwe * Ukune * Ulewe * Ushetu * Ulowa * Uyogo

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ushetu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Shinyanga|U]