Wilaya za Tunisia
Wilaya za Tunisia ni 24 nazo zinagawanyika katika tarafa 264 (mutamadiyat), ambazo tena zimegawanyika katika miji (baladiyat),[1] na mitaa (imadats).[2]
Katika ngazi ya kwanza ya ugatuzi Tunisia imegawanyikakatika mikoa 6.[3]
Key | Wilaya | Wakazi (2014)[4] |
Eneo (km2)[5] |
Msongamano | Mkoa |
---|---|---|---|---|---|
1 | Ariana | 576,088 | 482 | 1,195.20 | Kaskazini Mashariki |
2 | Béja | 303,032 | 3,740 | 81.02 | Kaskazini Magharibi |
3 | Ben Arous | 631,842 | 761 | 830.28 | Kaskazini Mashariki |
4 | Bizerte | 568,219 | 3,750 | 151.53 | Kaskazini Mashariki |
5 | Gabès | 374,300 | 7,166 | 52.23 | Kusini Mashariki |
6 | Gafsa | 337,331 | 7,807 | 43.21 | Kusini Magharibi |
7 | Jendouba | 401,477 | 3,102 | 129.43 | Kaskazini Magharibi |
8 | Kairouan | 570,559 | 6,712 | 85.01 | Kati Magharibi |
9 | Kasserine | 439,243 | 8,260 | 53.18 | Kati Magharibi |
10 | Kebili | 156,961 | 22,454 | 6.99 | Kusini Magharibi |
11 | Kef | 243,156 | 4,965 | 48.97 | Kaskazini Magharibi |
12 | Mahdia | 410,812 | 2,966 | 138.51 | Kati Mashariki |
13 | Manouba | 379,518 | 1,137 | 333.79 | Kaskazini Mashariki |
14 | Medenine | 479,520 | 9,167 | 52.31 | Kusini Mashariki |
15 | Monastir | 548,828 | 1,019 | 538.59 | Kati Mashariki |
16 | Nabeul | 787,920 | 2,788 | 282.61 | Kaskazini Mashariki |
17 | Sfax | 955,421 | 7,545 | 126.63 | Kati Mashariki |
18 | Sidi Bouzid | 429,912 | 7,405 | 58.06 | Kati Magharibi |
19 | Siliana | 223,087 | 4,642 | 48.06 | Kaskazini Magharibi |
20 | Sousse | 674,971 | 2,669 | 252.89 | Kati Mashariki |
21 | Tataouine | 149,453 | 38,889 | 3.84 | Kusini Mashariki |
22 | Tozeur | 107,912 | 5,593 | 22.87 | Kusini Magharibi |
23 | Tunis | 1,056,247 | 288 | 3,052.74 | Kaskazini Mashariki |
24 | Zaghouan | 176,945 | 2,820 | 63.93 | Kaskazini Mashariki |
Tanbihi hariri
- ↑ Tunisia Governorates
- ↑ Portail de l'industrie Tunisienne Archived 6 Januari 2013 at the Wayback Machine, in French
- ↑ "Fig. 1. Tunisia map according to region.". ResearchGate (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 8 March 2019. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ "2014 Tunisian census data". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 May 2015. Iliwekwa mnamo 2022-12-21. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); Check date values in:|archivedate=
(help) - ↑ "tunisieindustrie.nat.tn". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 December 2014. Iliwekwa mnamo 2022-12-21. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); Check date values in:|archivedate=
(help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya za Tunisia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |