William Francis Giauque (12 Mei 189528 Machi 1982) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa za halijoto chini kabisa. Mwaka wa 1949 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Faili:William Giauque Nobel.jpg
William Giauque


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Giauque kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.