William Skinner Cooper

Mtaalamu wa mimea wa Marekani (1884-1978)

William Skinner Cooper (25 Agosti 18848 Oktoba 1978) alikuwa mwanaekolojia nchini Marekani.

Mnamo 1906 Cooper alipokea B.S. kutoka Chuo cha Alma huko Michigan. Mnamo 1909, alijiunga katika Chuo Kikuu cha Chicago, ambapo alisoma na Henry Chandler Cowles, na kumaliza Ph.D. mnamo 1911. Chapisho lake kuu la kwanza, "The Climax Forest of Isle Royale, Lake Superior, and Its Development" [1] lilionekana mnamo 1913.

Marejeo hariri

  1. William S. Cooper, "The Climax Forest of Isle Royale, Lake Superior, and Its Development. I," Botanical Gazette 55 (1913): 1-44
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Skinner Cooper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.