Winnipeg ni mji mkuu na mji mkubwa katika mkoa la Manitoba. Asilimia 60 ya wakazi wa Manitoba wanaishi katika Winnipeg. Kunako mwaka wa 2006, idadi ya wakazi ilikuwa 633,451. Eneo lake ni 464.01 km². Mji upo m 238 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu za Mji wa Winnipeg



Jiji la Winnipeg
Nchi Kanada
Mkoa Manitoba
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 633,451
Tovuti:  www.winnipeg.ca

Jina la Winnipeg ni ya Kikree maana yake ni maji matibwitibwi. Jina inahusu Ziwa Winnipeg

Mji ulianzishwa mwaka 1738

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Winnipeg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.