Wisdom Tsidore Seyena-Susu

Wisdom Tsidore Seyena-Susu(alizaliwa 21 Septemba 1938 ni nwanasiasa na mbunifu nchini Ghana. Alihudumu kama mbunge wa Bunge la Jimbo la Ketu Kusini kwenye Mkoa wa Volta nchini Ghana.[1]

Maisha na Elimu hariri

Seyena-Susu alisoma katika Chuo Kikuu cha Sayansi na teknolojia cha Kwamenkurumah na kupata Shahada ya Sayansi ya Usanifu wa Majengo.[2]

Marejeo hariri

  1. Occasional Papers (kwa Kiingereza). Centre of African Studies, Edinburgh University. 1993. 
  2. Ghana Parliamentary Register 1992-1996.