Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (Kiingereza: Ministry of Health and Social Welfare kifupi (MoH)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.

Ummy Mwalimu - Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania aliyeteuliwa na rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. John (2015-2020)

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri