Wizara ya Elimu

ukarasa wa maana wa Wikimedia

Nchi kadhaa zina idara za serikali zinazoitwa Wizara ya Elimu au Wizara ya Elimu ya Umma . Wizara ya kwanza kabisa inafikiriwa kuwa Tume ya Taifa ya Elimu (pl. Komisja Edukacji Narodowej, lt . Edukacinė komisija) na ilianzishwa mwaka wa 1773 katika katika Madola ya Kipolishi-Kilithuania.

Angalia Pia hariri

 
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.