Nelust Wyclef Jean (amezaliwa tar. 17 Oktoba 1972) ni mwanamuziki, mwigizaji, mtayarishaji wa Kihaiti-Kiamerika. Pia anafahamika kwa kuwa kama mwanachama wa kundi la muziki wa hip hop la The Fugees.

Wyclef Jean
Wyclef Jean akitumbuiza mnamo 2008
Wyclef Jean akitumbuiza mnamo 2008
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Neluset Wyclef Jean
Pia anajulikana kama Wyclef
Amezaliwa 17 Oktoba 1972 (1972-10-17) (umri 51)
Croix-des-Bouquets, Haiti
Asili yake Newark, New Jersey, United States
Aina ya muziki Hip hop, reggae, kompa, R&B, Muziki wa asili
Kazi yake Mwanamuziki, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji, mwigizaji
Ala Sauti, gitaa, piano, ngoma
Miaka ya kazi 1987–hadi leo
Studio Ruffhouse, Columbia, J, Koch
Ame/Wameshirikiana na The Fugees
Tovuti www.wyclef.com

Wasifu hariri

Maisha ya awali (kwa ufupi) hariri

Jean alizaliwa kama Nelust Wyclef Jean, mjini Croix-des-Bouquets, Haiti, alipewa jina la Wyclef Jean na baba yake mlezi, mchungaji aliyebadilisha jina lake baada ya kuitwa John Wycliffe[1]. Alihama yeye na familia yake na kuelekea zao mjini Brooklyn, New York akiwa na umri wa miaka tisa, na kisha baadaye kuelekea zao New Jersey.

Muziki hariri

Makala kuu ya: Albamu za Wyclef Jean

Marejeo hariri

  1. Yéle.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-04-04. Iliwekwa mnamo 2008-09-09.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: