Yakubu Abubakar Akilu

Yakubu Abubakar Akilu (alizaliwa 14 Machi 1989) ni mwanasoka wa Nigeria ambaye anacheza kama kiungo mtetezi katika klabu ya Västerhaninge IF.

Kazi hariri

Yakubu ni Kiungo wa kati aliyetulia na aliyefunga mabao mengi akiwa na klabu ya Ebedei hata hivyo Yakubu alikuwa mchezaji wa tisa aliyehama kutoka klabu yake na kwenda hadi klabu ya Midtjylland. [1]

Marejeo hariri

  1. "Yakubu Abubakar Akilu | vereinslos | | 2008/09 | Spielerprofil". kicker (kwa de-DE). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 March 2016. Iliwekwa mnamo 8 May 2022.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yakubu Abubakar Akilu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.